Mabadiliko ya Hali ya Anga
Changamoto nyingine ya hali ya anga
Mabadiliko ya hali ya anga yana changamoto ya kipekee kwa binadamu. Changamoto hiyo itawalemea zaidi vijana. Vijana wanaelewa changamoto hii vizuri kwa kiwango gani? Mabadiliko ya hali ya anga yana changamoto ya kipekee kwa binadamu. Changamoto hiyo itawalemea zaidi vijana. Vijana wanaelewa changamoto hii vizuri kwa kiwango gani?
Shirika la UNICEF pamoja na shirika la Gallup yaliwauliza vijana na watu wazima katika nchi 55 jinsi wanavyoona ulimwengu kwa sasa.
Soma zaidi kuhusu utafitiJibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.
Rudi kwenye swaliJibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.
Rudi kwenye swali