Wakala

Uhuru wa kuwa mtoto

Katika nchi nyingi ulimwenguni, ni lazima uwe na umri wa miaka 18 kabla ya kuweza kupiga kura. Lakini unaweza kufunga ndoa kisheria ukiwa na umri mchanga kulio huo katika nchi nyingi — hasa ikiwa wewe ni mwanamke. Je, huo ni wajibu mkubwa kupindukia bila uhuru wa kutosha?

Je, unafikiri watu wanafaa kuruhusiwa kupiga kura mara ya kwanza wakiwa na umri gani?

Jibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.

Rudi kwenye swali
Tuliuliza watu swali sawa ulimwenguni kote.
% ya watu walio na umri wa miaka 15-24 wanaopendekeza umri wa kupiga kura ulio chini ya umri mdogo zaidi wa sasa wa nchi zao100%
Bangladeshi2%Ujerumani65%
0%
Katika baadhi ya nchi, idadi kubwa ya vijana wanapendekeza umri wa kupiga kura ulio chini ya umri wa chini zaidi uliopo wa nchi zao.
Ombi la umri wa chini zaidi uliopunguzwa wa kupiga kura ni la kawaida katika nchi zenye mapato ya juu.
Hali ni hiyo hiyo ndani ya <0>Kameruni/0> na Lebanoni ambapo umri halali wa sasa wa kupiga kura uko juu sana - 20 nchini Kameruni na 21 nchini Lebanoni.
Watu wengi wenye umri mkubwa pia walionyesha kuunga mkono umri wa chini wa kupiga kura.
Idadi kubwa ya Watu wenye umri wa miaka 15-24 wanapendekeza umri mdogo zaidi wa kufunga ndoa wa wanawake unaozidi umri halali wa sasa.Idadi kubwa ya watu wenye umri wa miaka 40+ wanapendekeza umri mdogo zaidi wa kufunga ndoa wa wanawake unaozidi umri halali wa sasa.
Vizazi vya vijana na watu wenye umri mkubwa vinakubali kuwa sio tu kwamba maoni ya watoto yanafaa kusikilizwa. Pia wanakubali kuwa watoto wanastahiki muda wa kufurahia uhuru kabla ya ndoa.
Watu wengi katika nchi zinazoendelea wangependelea umri mdogo zaidi wa kufunga ndoa unaozidi uliowekwa katika sheria zilizopo — na katika nchi nyingi, hususan watu wenye umri mkubwa wanaunga hili mkono.
Idadi kubwa zaidi ya wanaopendekeza umri mkubwa zaidi wa kisheria wa kufunga ndoa wa wanawake wanapatikana Indonesia naKameruni — nchi mbili ambapo umri halali wa kufunga ndoa wa wanawake ni mdogo mno.

Tunawezaje kuwawezesha watoto kuhusika pakubwa katika maamuzi yanayohusu maisha yao?

Shiriki hadithi hii

Jifunze zaidi kuhusu kipengele hiki cha jinsi utoto unavyobadilika

WakalaUwezo wa mtoto